Nikaido Ren wa Japani alishinda medali ya shaba katika mashindano ya kuruka kwenye theluji, ski jumping upande wa wanaume kipengele cha normal hill katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Mi ...
Viongozi wenza wa Chama cha Centrist Reform Alliance cha Japani, CRA wanasema watajiuzulu nyadhifa zao kufuatia chama hicho kipya cha upinzani kushindwa vibaya katika uchaguzi wa Baraza la Chini la Bu ...